Nandy - Siwezi (Official Music Video)
#Siwezi #NewMusic #Nandy #BongoFlava #Afrobeats #AfricanPrincess Siwezi by Nandy the official music video Stream Nandy on Spotify: https://open.spotify.com/artist/2YfO4GV7JrFSXyfEoa5id3si=PQvah2ZrSuOnWTIa9y5-9g Connect Digital Tanzania on Social Media: https://www.instagram.com/digital_tanzania Siwezi Lyrics VERSE 1 Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani Kumbe kuachwa inaumaga ivii Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka Kumbe kuachwa ina umaga iviii we hayaaa Umeniumbua bora niseme Kiapo nilicho kula bora nikiteme Mapenz shikamoo sirudii tenaa Umepatwa na nn si useme Kinachokufanya we uniteme Mapenz shikamooo sirudiii tenaa we hayaa Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa CHORUS bila weee me siwez (sauti inarudia) Siwez siweziii ( nakumbuka uliniambia) VERSE2 Unanifanya me nalewa sana Haipiti siku bila kugombana Mapenz yako ya kibabe sana Malumbano ya mapenz siyawezi Kuna sielewi mana, iv kwanini kwako na ng,ang,ana Mapenz gani haya kutesana Wasiwasi wa mapenz Ivi kwann we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oooh mapenziiii Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwaaa CHORUS Connect with on https://www.instagram.com/officialnandy/ https://twitter.com/officialnandy https://www.facebook.com/officialnandy/
Tahun
2022
Durasi
4m
IMDb
7.6
Pemeran
Nandy
Singer
Pemeran
Nandy
Singer
Mungkin Anda Juga Suka
Ibraah Feat. Harmonize - Dharau (Official Lyrics Video)
Marioo & Harmonize - Naogopa (Official Music Video)
Roma - Zimbabwe [Official Music VIdeo]
Jay Melody - Nakupenda (Official Video)
Jay Melody - Siyawezi (Official Video)
Jay Melody - Wa Peke Yangu (Official Video)
Jay Melody - Baridi (Official Video)
Jux Ft Diamond Platnumz - Enjoy (Official Video)
Jah Prayzah - Donhodzo (Official Music Video)
Jah Prayzah - Soja Rinosvika Kure (Official Video)
Goulam - On s'en ira (Remix Kompa)
l'oiseau rare - je suis désolé
Mercy Chinwo Greatest Hits - Top Christian Gospel Worship Songs
OMAH LAY SONGS 2023- best
Rich Sex
AMAPIANO 2025 VIDEO MIX (Ngisakuthanda, Isaka (6am), ZENZELE, Abantwana Bakho) W/@Demolaviolinist
Zuchu - Honey (Official Music Video)
Harmonize - Dunia (Official Music Video)
Marioo feat Harmonize - Away (Official Music Video)
Jay Melody - Mbali Nawe (Official Music)
Mbosso - Amepotea (Official Music Video)
Alikiba - Mahaba (Official Lyric Video)
Harmonize - Ujana (Official Music Video)
Harmonize - Wote (Official Music Video)
Pilihan Unggulan
Ingin hiburan tambahan? Jelajahi hub game rekomendasi kami dan destinasi short drama pilihan.

